KARIBU KWENYE TOVUTI RASMI YA SHEIKH SHAHID MUHAMMAD
VITABU VINAVYOFUNDISHWA
| SIKU | KIPINDI | SHEIKH |
|---|---|---|
| JUMATATU | TAWHEED | SHAHID MUHAMMAD |
| JUMANNE | FIQHI | NAHMAN MUSSA |
| JUMATANO | TAWHEED | SHAHID MUHAMMAD |
| ALHAMISI | HADITH | ABDULBAST OTHMAN |
| IJUMAA | QUR’AN | ABDULHAFIDH IDRISA |
| JUMAMOSI | LUGHA | KHALIFA ISSA |
| JUMAPILI | QUR’AN | ABDULHAFIDH IDRISA |
| BAADA YA SWALA YA MAGHRIBI HADI ISHA | ||
| SIKU | KIPINDI | SHEIKH |
|---|---|---|
| JUMATATU | TAWHEED | SHAHID MUHAMMAD |
| JUMANNE | FIQHI | NAHMAN MUSSA |
| JUMATANO | TAWHEED | SHAHID MUHAMMAD |
| ALHAMISI | HADITH | ABDULBAST OTHMAN |
| IJUMAA | QUR’AN | ABDULHAFIDH IDRISA |
| JUMAMOSI | LUGHA | KHALIFA ISSA |
| JUMAPILI | QUR’AN | ABDULHAFIDH IDRISA |
| BAADA YA SWALA YA MAGHRIBI HADI ISHA | ||
UKUMBUSHO
Sheikh Shahid Mohamed ni miongoni mwa Masheikh na walinganiaji wa Dini tukufu ya Uislamu katika Manhaji ya Ahlusunnati waljamaa jijini Mwanza-Tanzania, ni Sheikh wa Masjid Abeid Msikiti uliyopo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation Mwanza.
Ni miongoni mwa wasomi waliopata elimu ya Sharia ya Kiislam Nchini Saudi Arabia. Amemaliza Degree yake ya Sharia (Islamic Law) katika chuo kiitwacho IMAMU MUHAMMAD BIN SAUD UNIVERSITY mwaka 2012.
Pamoja na kazi ya Ualimu na Da’awa, pia ni Mtarjimu wa vitabu vya Dini vyenye mlengo wa kuelimisha jamii.
Miongoni mwa vitabu alivyo wahi kutarjimu ni: –
- Ujumbe wa Uislamu kwa Ulimwengu, cha Dr. Abdur-rahmaan Al-Sheha.
- Shia Ithna Asharia ni watu gani? Cha Sheikh Abdalla bin Muhammad .
- Tafsiri ya sehemu ya kumi ya mwisho katika Qur-an
- Je, haujafika wakati wa wewe kuwa Kuislam?, cha Dr. Abdur-rahman
- Mtume Mtukufu.
- Ufunguo wa kuufahamu Uislamu.