لمعة الإعتقاد

LUMATUL I‘TIQAD

Jina la Kitabu: لمعة الاعتقاد (Lumatul I‘tiqad )
Mwandishi: Al-Imām Muwaffaquddīn Ibn Qudāmah al-Maqdisī رحمه الله (w. 620 H)

Kitabu hiki ni miongoni mwa vitabu mashuhuri vya ‘Aqīdah ya Ahlus-Sunnah wal-Jamā‘ah. Kimeandikwa na Imamu Ibn Qudāmah, mmoja wa wanazuoni wakubwa wa madhehebu ya Hanbali. Maudhui yake yameelezwa kwa Ufupi, yakiweka wazi misingi ya itikadi sahihi ya Kiislamu.

Kinaeleza masuala ya msingi kama:

  • Tawhīd na sifa za Allah.

  • Imani kwa Malaika, Mitume, Vitabu, Qiyāmah na Qadar.

  • Msukumo wa kufuata Qur’an na Sunna.

  • Kusimama imara juu ya misingi ya Ahlus-Sunnah na kujiepusha na bid‘a.

Sheikh Shahid Muhammad alifundisha kitabu hiki mwaka 2020 katika Masjid Abeid – Mwanza, akakifafanua kwa lugha ya Kiswahili na kwa kutumia mifano halisi ya maisha ya kila siku, jambo lililowafanya wengi kufahamu aqida ya Ahlus-Sunnah kwa urahisi zaidi.

لمعة الاعتقاد (LUMATUL I‘TIQAD)

AUDIO ZA DARSA ZA KITABU HIKI

DARSA YA 01


DARSA YA 02


DARSA YA 03


DARSA YA 04


DARSA YA 05


DARSA YA 06


DARSA YA 07


DARSA YA 08


DARSA YA 09


DARSA YA 10


DARSA YA 11


DARSA YA 12


DARSA YA 13


DARSA YA 14


DARSA YA 15


DARSA YA 16


DARSA YA 17


DARSA YA 18


DARSA YA 19


DARSA YA 20


DARSA YA 21


DARSA YA 22


DARSA YA 23


DARSA YA 24


DARSA YA 25


DARSA YA 26


DARSA YA 27


DARSA YA 28


DARSA YA 29


DARSA YA 30


DARSA YA 31


DARSA YA 32


DARSA YA 33


DARSA YA 34


DARSA YA 35


DARSA YA 36


DARSA YA 37


DARSA YA 38 (MWISHO)