Sheikh Shahidi Muhammad aliendesha semina maalumu ya Maimamu na Walinganiaji wa Kiislamu mwaka 2022 katika Masjid Nuurul-Hudaa, Kibeta – Bukoba.
Katika semina hii, Sheikh alifundisha kitabu “AD-DA’AWAH”, kinachoeleza mbinu bora za kulingania katika dini ya Uislamu kwa hekima, busara na uvumilivu.